Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Monday, June 23, 2014

MFUKO WA PSPF WAMALIZA WIKI YA UTUMISHI KWA MAFANIKIO MAKUBWA



Ofisa masoko wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma'PSPF' Bi, Rahma Ngassa kulia akimkaribishakatibu Mkuu Kiongozi  Balozi Ombeni Sefue katika banda la PSPF wakati wa maonesho ya wiki ya utumishi wa Umma yaliyomalizika jumatatu ya wiki hii
Add caption
Ofisa uhendeshaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF' Bw, Mohamed Masoud kilia akimpatia mahelezo 
katibu Mkuu Kiongozi  Balozi Ombeni Sefue alipotembeleabanda la PSPF wakati wa maonesho ya wiki ya utumishi wa Umma yaliyomalizika jumatatu ya wiki hii
Mkurugenzi wa mipango ya uwekezaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF' Bw, Gabriel Silayo katikati akiwa na baadhi ya maofisa wa PSPF wakati wa maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma
 Ofisa uhendeshaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF' Bw, Mohamed Masoud akimkaribisha Bi, Veronica Nyambajo wakati wa mahadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma yaliyomalizika jumatatu hii
 Ofisa uhendeshaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF' Bw, Mohamed Masoud aki muhakiki mteja Francisca Kwitende ambaye alitembelea banda hilo kwa ajili ya kupata mahelezo mbalimbali wakati wa mahadhimisho ya maadhimisho ya watumishi wa Umma
Afisa wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma Bi, Leila Laizer kulia akimpatia maelekezo Francisca Kwitende ambaye alitembelea banda hilo kwa ajili ya kupata mahelezo mbalimbali wakati wa mahadhimisho ya maadhimisho ya watumishi wa Umma


BAADHI YA WANANCHI WALIOTEMBELEA BANDA LA PSPF WAKIPATIWA HUDUMA MBALIMBALI WAKATI WA  MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA






Afisa uendeshaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma 'PSPF'  Bw,Hadji Jamadary kulia akitoa maelekezo mbalimbali jinsi ya kujiunga na mfuko huo

No comments :

Post a Comment