Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Friday, June 8, 2012

MAZOEZI YA MWISHO KWAAJILI YA SHOW YA MWANZA "GOLDEN CREST HOTEL"


Lady Jay Dee akifanya mzoezi ya nguvu kwa

  ajili ya onesho lake la mwanza
 
That's what i do for a living
MWANZA TUNAKUJAAAAAAAAAAAAAAA
Nikiimba, nasahau shida zote
Nikiwa pale juu simfikirii mtu yoyote
Muziki ndio unakuwa mawazo yangu yote

Tip: Kuimba kuna fariji, Kuimba kunasaidia kukaba nafasi ya mawazo mabaya, Kuimba kuna relaxisha "Kama ukiimba huku unapenda lakini" sio kwa kulazimishwa.
Kuimba ni mazoezi pia
Kuimba ni kazi kama kazi nyingine yoyote duniani

Hongereni na wale wote mnaojiimbiaga bafuni
Kazi yoyote inataka nidhamu na dedication
Niliamua tangu zamani maisha yangu kuyaweka mikononi mwa muziki, mpaka alienileta duniani aseme basi

No comments :

Post a Comment