Mbunge
wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh.Aziz Abood ambaye pia ni Mmiliki wa
Abood Media,akisalimiana na Meneja Mahusiano wa Vodacom
Tanzania,Bw.Matina Nkurlu na Afisa Udhamini wa Vodacom Ibrahimu Kaude
wa kwanza kushoto,mara walipotembelea makao makuu ya Abood Media kwa
lengo la kufanya mahojiano kwa ajili ya Tamasha la
”WAJANJA”litakalofanyika kesho kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni
katika uwanja wa Jamhuri mjini humo.Tamasha hilo litaendelea kufanyika katika mikoa ya Mtwara na Tanga,likiwa na lengo
la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea
kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano
kwenda mtandao wowote nchini na kutumia facebook na twitter bure.
Mbunge
wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh.Aziz Abood ambaye pia ni Mmiliki wa
Abood Media,akimsikiliza jambo Meneja Mahusiano wa Vodacom
Tanzania,Bw.Matina Nkurlu,mara walipotembelea makao makuu ya Abood
Media kwa lengo la kufanya mahojiano kwa ajili ya Tamasha la
”WAJANJA”litakalofanyika kesho kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni
katika uwanja wa Jamhuri mjini humo.Tamasha hilo litaendelea
kufanyika katika mikoa ya Mtwara na Tanga,likiwa na lengo la
kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa
robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda
mtandao wowote nchini na kutumia facebook na twitter bure.
Mtangazaji
wa Abood Radio ya Mjini Morogoro Bi.Zainabu Swaleh akiwahoji
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakati wa kipindi cha “Nani
Mkali”,kutoka kushoto Meneja Mahusiano wa kampuni hiyo Matina
Nkurlu,Afisa Udhamini wa Vodacom Ibrahim Kaude,walipotembelea makao
makuu ya Abood Media kwa lengo la kufanya mahojiano kwa ajili ya Tamasha
la ”WAJANJA”litakalofanyika kesho kuanzia saa nane mchana mpaka saa
12 jioni katika uwanja wa Jamhuri mjini humo.Tamasha hilo litaendelea
kufanyika katika mikoa ya Mtwara na Tanga,likiwa na lengo
la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea
kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano
kwenda mtandao wowote nchini na kutumia facebook na twitter bure.
Meneja
Mahusiano wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu,akifafanua jambo kwa
mtangazaji wa kipindi cha “Nani Mkali”wakati wa mahojiano rasmi kwenye
Radio ya Abood iliyopo mjini Morogoro mara walipotembelea kituo hicho
kwa lengo la kufanya mahojiano kwa ajili ya Tamasha la
”WAJANJA”litakalofanyika kesho jumapili kuanzia saa 8 mchana mpaka saa
12 jioni katika uwanja wa Jamhuri mjini humo.Tamasha hilo litaendelea
kufanyika katika mikoa ya Mtwara na Tanga,likiwa na lengo la
kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa
robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda
mtandao wowote nchini na kutumia facebook na twitter bure.
Afisa
Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude akijibu moja ya
maswali aliyokuwa akiulizwa na Mtangazaji mahiri wa kipindi cha “Nani
Mkali”Bi.Zainabu Swaleh,kipindi hicho kinachorushwa na Radio ya
Abood ya Mjini Morogoro, mara walipotembelea kituo hicho kwa lengo la
kufanya mahojiano kwa ajili ya Tamasha la ”WAJANJA”litakalofanyika
jumapili hii kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni katika uwanja wa
Jamhuri mjini humo.Tamasha hilo litaendelea kufanyika katika mikoa
ya Mtwara na Tanga,likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia
mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe
kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote nchini na kutumia
facebook na twitter bure.
No comments :
Post a Comment