Mama wa msani Wema Sepetu Mariam Sepetu, kulia ameibuka na kuseka kuwa
yupo tayali kupanda mahakamani pindi popote magazeti ya Udaku yatakapo
mwandika Wema akizungumza na Kipindi cha Take One cha Clous TV ameweka
wazi kuwa yupo tayari wakati wowote kupelekana Mahakama pindi gazeti
lolote litakalo mtoa Weka katika mambo mabaya na amesisitiza kuwa jamii
impende mwanae na kuwambia watu wa magazeti ya Udaku kuwa wamuache
mwanae kwa lolote lile juu ya mwanae na kumtaja mmoja wa waandishi wa
habari wa Global akimtaja Shakolo na kusema magazeti yote yanafanya
biashara kupitia mgongoni wa mwanae wema ambapo amedai kula nao saani
mojapindi watakapotoa picha za mwanae katika kurasa za mbele za magazeti
yakiuza kupitia yeye mtoto wake
KAGERA SUGAR WAICHAPA TRANSIT CAMP NYUMBANI
-
Timu ya soka ya Kagera Sugar ya Bukoba jana wametoka kifua mbele kwa
ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Timu ya Transint Camp kwenye mchezo wa ligi
daraja...
9 hours ago
No comments :
Post a Comment