![]() |
| Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya Shetta akisakama jukwaa kama vilivyo mjini Morogoro wakati wa Tamasha la”WAJANJA”lililofanyika mjini humo,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litaendelea katika mikoa ya Mtwara na Tanga likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano na kutumia facebook na twitter bure. |
KAMA UNA UGOMVI NA MTU KARIBU MAPOROMOKO YA MAJI ENDORO
-
Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro imeanza utekelezaji wa mpango
maalum wa kuboresha eneo la Endoro ili litumike kama sehemu ya utalii tiba
kwa wa...
14 hours ago





No comments :
Post a Comment