Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00

Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, June 28, 2012

TANGA CEMENT WACHANGIA DAMU HOSPITALI YA BOMBO TANGA

 Mmoja wa wafanyakazi wa Kampuni ya Tanga Cement, Jane Mkony
akijiitolea damu katika zoezi la uchangiaji damu lililoandaliwa na
kampuni hiyo ambapo wafanyakazi zaidi ya 65 walijitolea kuchangia
benki ya damu ya Hospitali ya Mkoa wa Tanga ya Bombo. Katika hafla
hiyo iliyofanyika katika eneo la kiwanda, Pongwe, Tanga jana, Tanga
Cement pia ilikabidhi jokofu la kuhifadhia damu kwa Kituo Cha Afya
cha Rosminian cha Kwalukonge Wilaya ya Korogwe lenye thamani ya shs
milioni 9.8. Anayemtoa damu ni Mteknolojia wa maabara ya Bombo, Yusuf
Mgaya.
 : Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanga Cement, Injinia Ben
Lema (kushoto) akikabidhi jokofu la kuhifadhia damu kwa Meneja wa
Kituo Cha Afya cha Rosminian cha Kwalukonge Wilaya ya Korogwe, Padri
Ambrose Uhuru Chuwa lenye thamani ya shs milioni 9.8 lililotolewa na
kampuni hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Uchangiaji Damu
Kitaifa. Hafla hiyo ilifanyika eneo la kiwanda, Pongwe, Tanga jana.

 Mmoja wa wafanyakazi wa Kampuni ya Tanga Cement, Amani Shabani
akipimwa damu katika zoezi la uchangiaji damu lililoandaliwa na
kampuni hiyo ambapo wafanyakazi zaidi ya 65 walijitolea kuchangia
benki ya damu ya Hospitali ya Mkoa wa Tanga ya Bombo. Katika hafla
hiyo iliyofanyika katika eneo la kiwanda, Pongwe, Tanga jana, Tanga
Cement pia ilikabidhi jokofu la kuhifadhia damu kwa Kituo Cha Afya
cha Rosminian cha Kwalukonge Wilaya ya Korogwe lenye thamani ya shs
milioni 9.8. Anayemtoa damu ni Mteknolojia wa maabara ya Bombo, Yusuf
Mgaya.
Ofisa Mawasiliano wa Tanga Cement, Mtanga Noor akizungumza katika
katika zoezi la uchangiaji damu lililoandaliwa na kampuni hiyo ambapo
wafanyakazi zaidi ya 65 walijitolea kuchangia benki ya damu ya
Hospitali ya Mkoa wa Tanga ya Bombo. Katika hafla hiyo iliyofanyika
katika eneo la kiwanda, Pongwe, Tanga jana.

No comments :

Post a Comment