Maneja masoko wa TBL Fimbo Butallah akizungumza wakati wakutoa tuzo
Washindi
wa Tuzo za Excel With Grand Malt kwa vyuo vya Elimu ya Juu mkoani
Iringa wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni Rasmi kwenye utoaji wa
Tuzo hizo,Mkuu wa Wilaya ya Iringa,Mh. Leticia Warioba (wa tatu toka
kushoto walio mstari wa mbele) na Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia
Tanzania,Fimbo Butallah (wa nne toka kushoto walio mstari wa mbele) ambao
ndio wadhamini wakuu wa Tuzo hizo kupitia kinywaji kisicho na kilevi
cha Grand Malt.Sherehe ya utoaji wa tuzo hizo ilifanyika kwenye viwanja
vya Chuo kikuu cha Tumaini,Mkoani Iringa
Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania,Fimbo Butallah akivuta udongo shimoni wakati
wa zoezi la Upandaji Miti katika eneo la Chuo Kikuu Kishiriki cha
Mkwawa,Mkoani Iringa jana ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa kauli ya
Serikali ya Utunzaji wa Mazingira katika maeneo mbali mbali ya
nchini.anaeshuhudia ni Afisa Mazingira wa Chuo Kikuu Kishiriki cha
Mkwawa,Athuman Said.
No comments :
Post a Comment