Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, June 28, 2012

WAKAZI WA KAHAMA WAFURAHIA MATAMASHA YA TIGO.




Msanii wa Sarakasi kutoka jijini Dar es Salaam akionyesha uwezo wake wa kijikunja mbele ya mashabki waliofurika kwenye viwanja vya Stendi ndogo Mjini Kahama Shinyanga, ambapo wasanii hao wameambatana na Msanii wa Muziki wa kizazi Kipya H. Baba, kwenye matamasha ya hayo ya Tigo.
Wakazi wa Kahama Waliohudhuria kwenye tamasha hilo.

H.Baba akitumbuiza mashabiki wake kwenye tamasha hilo

No comments :

Post a Comment