Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, June 19, 2012

WAZIRI DR. FENELLA MUKANGARA AFUNGUA MASHINDANO YA UMISETA



Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akishuhudia gwaride la maandamano ya wanafunzi wa shule za sekondari wakati wa uzinduzi wa Mashindano ya shule za Sekondari Tanzania (UMISETA) uliofanyika Kibaha Mkoani Pwani. (Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM)
Baadhi ya washiriki wa Mashindano ya shule za Sekondari Tanzania (UMISETA) wakipita mbele ya mgeni rasmi wakati wa uzinduzi wa mashindano hayo,uzinduzi huo ulifanyika jana Mkoani Pwani. (Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM)
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akiongea na wachezaji wa Umoja wa Michezo wa shule za Sekondari Tanzania (UMISETA) (hawapo pichani) wakati alipokwenda kuzindua mashindano hayo Kibaha mkoani Pwani.Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza na Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mh.Jumanne Sagini. (Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM)
Baadhi ya washiriki wa Mashindano ya michezo mbalimbali ya  shule za Sekondari Tanzania (UMISETA) wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara wakati wa uzinduzi wa  Mashindano ya shule za Sekondari Tanzania (UMISETA). (Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM)

No comments :

Post a Comment