Bondia Juma Fundi kushoto na Baina Mazola wakitunishiana misuri wakati
wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa TPBO leo mpambano wao
utafanyika julai 15 katikati ni Promota wa mpambano huo Kaike Siraju
WAJUMBE WA MKUTANO WA BARAZA LA VIWANJA VYA NDEGE AFRIKA WAFURAHIA VIVUTIO
VYA UTALII NGORONGORO
-
Na Philomena Mbirika, Ngorongoro
Wajumbe zaidi ya 137 kutoka nchi mbalimbali barani Afrika waliokuwa
wakihudhuria mkutano mkuu wa 73 wa Baraza la Viwa...
15 hours ago
No comments :
Post a Comment