Mbunge wa Jimbo la Bahi, Omary Badwel (CCM), akisindikizwa na
askari polisi kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo,
baada ya kusomewawa mashitaka akituhumiwa kushawishi na kupokea rushwa
ya sh. milioni 1. Kesi hiyo imehairishwa hadi juni 18 mwaka huu. (PICHA
NA PHILEMON SOLOMON)
WAUMINI TAG GOBA WATAKIWA KUISHI MAISHA YASIYYO NA HOFU
-
Mchungaji Mteule wa Kanisa la Kingdom Impact Christian Centre(TAG) Goba,
Dkt. Jonathan Chales Ndanshau amewataka waumini wa Kanisa hilo waishi
katika mai...
2 days ago

No comments :
Post a Comment