![]() |
| Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA , Mama Salma Kikwete (mwenye miwani ) akibonyeza kitufe wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Matibabu ya Fistula Tanzania Juni 15-2012 jijini Dar es Salaam, wa pili kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya CCBRT Dk. Wilbroud Slaa,(kulia) ni Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa DSM ambae ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sophia Mjema.(Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO). |
NYUMBU NA MSEMO WA "TAHADHARI NA ADUI KIUMBE
-
Msanii kutoka Zanzibar Bi Fatma Issa aliimba tahadhari na adui kiumbe,
daima asikusibu na Mungu akuepushie.
Nyumbu wakiwa wanazaliwa katika eneo la Nd...
18 hours ago


No comments :
Post a Comment