HII NI SEHEMU YA MOJA YA MATANGAZO YA KWENYE GAZETI KIPINDI HICHO MCHEZO
MKUBWA TANZANIA ILIKUWA NGUMI LAKINI KWA SASA AZIPEWI KIPAUMBELE NA
WANA HABARI INGAWA TUPO NAO BEGA KWA BEGA KUENDELEZA MICHEZO NCHINI
HONGERENI WANA HABARI NA MJIFUNZE KUTOKEA HAPA ILI TUIPE MICHEZO YOTE
NAFASI YA KUSIKIKA KWA WAPENZI WAKE
FUKUO LA KUFUKUA MAAJABU YA NGORONGORO LAFUKULIWA
-
Waswahili husema "Dunia ni jumba la maajabu " Ngorongoro haiishiwi maajabu
, Ni kama vile lile fukuo la kufukulia maajabu ndani ya hifadhi ya eneo la
N...
2 hours ago

No comments :
Post a Comment