Mgambo na mashushushu wakimdhibiti mmoja wa vijana waliokamatwa katika
vurugu za Waislamu waliokuwa wakiandamana Kariakoo, Dar es Salaam leo,
kulishinikiza Jeshi la Polisi kumuachia huru Katibu wa Taasisi na
Jumuia za Kiislamu, Issa Ponda ambaye ameshitakiwa yeye na wenzie kwa
kuhamasisha vurugu.
Baadhi ya vijana wanaodaiwa kuwa wa kiislamu wakiahamasishana kuandamana leo katika BARABARA YA mSIBAZI, Kariakoo, Dar es Salaam, kwenda Makao Makuu ya Jeshi la Polisi kushinikiza Issa Ponda kuachiwa.
Askari Kanzu wakimshughulikia mmoja wa vijana wakati wa vurugu hizo
Askari Kanzu akimdhibiti mtuhumiwa
Wanajeshi wakiwa kwenye Lori lao wakiasili kutuliza ghasia Kariakoo
Baadhi ya watuhumiwa wakiwa kwenye gari wakipelekwa kituo cha polisi
Mwendesha pikipiki akiwa chini ya ulinzi
Askari Kanzu akimdhibiti kijana aliyenaswa wakati wa vurugu hixo
Polisi wakiwa doria mitaa ya Kariakoo
Wanajeshi wakiungana na askari kanzu katika operesheni hiyo
Ni kasheshe kwenda mbele
Mwanamama akiwa chini ya ulinzi
Wanahabari wakiwa kazini katika vurugu hizo

No comments :
Post a Comment