Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Wednesday, October 24, 2012

TBL YASAIDIA SH. MIL. 40.5 ZA VISIMA HANDENI



 

Mkuu wa Wilaya ya Handeni,akipokea mfano wa hundi ya sh 40.5 milioni kutoka kwa Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo kwa ajili yakuendeshea mradi wa uchimbaji wa visima 15 vya maji katika vijiji vitano vya Kata ya Kwangwe,Wilaya ya Handeni,Mkoa wa Tanga, mradi huo unaotazamiwa kukamilika mara baada ya miezi mitatu.
Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kushoto) akimkabidhi Diwani wa Kata ya Kwamgwe, wilayani Handeni, Tanga, Shariffa Abebe mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 40.5 akipokea hundiya sh 40.5 zilizotolewa na kampuni ya TBL kwa ajili ya kuchimba visima 15 katika vijiji vitatu vya kata ya Kwamgwe.
Diwani wa kata ya Kwamgwe Wilaya ya Handeni,Shariffa Abebe akiishukuru Kampuni ya TBL kwa kutoa kiasi cha sh 40.5 milioni kwa ajili ya kuchimba visima 15 vya maji katika vijiji vitatu vya Kata ya Kwamgwe.
Diwani wa Kata ya Kwamgwe,Wilaya ya Handeni,Mkoa wa Tanga,Shariffa Abebe akipitia ratiba ya hafla ya uzinduzi wa mradi wa uchimbaji wa visima 15 katika vijiji vitatu vya kata hiyo vilivyofadhiliwa na kampuni ya TBL iliyotoa kiasi cha sh 40.5 milioni. Mradi huo ulizinduliwa na Mkuu wa Wilaya ya Handeni,Muhingo Rwenyemamu aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Chiku Gallawa.

No comments :

Post a Comment