Mkurugenzi
wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Cricentus Magori
akizungumza
wakati wa uzinduzi wa vikundi na kulathimisha na kukabidhi kadi kwa
wanachama za NSSF wanachama wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF)
pamoja na kutoa Cheti kwa Shirikisho hilo.
Meneja Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume akizungumza na wasanii wa Filamu Tanzania.
Meneja Matibabu wa Shirika la Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF)
akizungumza katika hafla ya kutoa kadi kwa wasanii wa Filamu Tanzania
Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba akizungumza katika hafla hiyo.
Wasanii mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo
Wasanii waliohudhuria hafla hiyo wakijisomea jarida la NSSF kujua faida za kujiunga na mfuko huo
Baadhi ya wasanii waliohudhuria hafla hiyo
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Cricentus Magori akimkabidhi cheti cha kujiunga na NSSF, Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba. Kushoto ni Mkurugenzi wa Liro, Suleiman Ling'ande.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Cricentus Magori akimkabidhi msanii wa Filamu, Steven Nyerere kadi ya Uanachama wa NSSF
No comments :
Post a Comment