Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Monday, October 8, 2012

MAMBO YA UVICCM


REHEMA MBEGU KAMWE-'mrs bigright' kulia akiwa akiwa na kiongozi mwenzake wa uvccm bi MWANAFATMA RUBAI katika viwanja vya karimjee wakati wa mkutano wa mkoa jana
Katibu wa umoja wa vijana(uvccm) kata ya makumbusho,na Ofisa mahusiano wa bigright promotions bi Rehema Mbegu ambae mara nyingi yupo na vijana katika michezo na shughuli za kijamii na mwenyekiti wa   garden sports centre amesema sasa hivi anaamua kujitosa mzimamzima na mambo ya siasa kwa kugombea nyadhifa zilizo katika chama akianzia wilayani, haya ni kwa mapenzi yake ya chama na kuhakikisha hawatetereki katika kata yake na wilaya ya kinondoni kiujumla katika chaguzi zijazo na kuleta maendeleo ya kweli katika mkoa wa kinondoni na taifa kiujumla.michezo ina nafasi yake na siasa ina nafasi yake hivyo nitaendelea kusaidiana na vijana katika michezo kama kawaida

No comments :

Post a Comment