Badhi ya vijana wanaodaiwa kuendesha vurugu hizo wakipandishwa kwenye gari la polisi eneo la Kizuiani. |
Wateule wachache wakatiwa nguvuni huku wakila kisago cha nguvu kutoka kwa askari hao. |
Hawa ni baadhi ya vijana waliokamatwa kwenye Chochoro mbalimbali za eneo hilo baada ya kukimbia mabomu na kujificha. |
Kimbembe kilikua hapa hawa jamaa wanao kula virungu ni wale walioamua kukaa chini na kuwaambia askari pigeni mtakavyo hatutoki. |
Baadhi ya wananchi wakaazi wa eneo hilo wakilalamikia mabomu na kudai yanawaumiza sana kwani kwa mchana kutwa waleo hali ni mbaya kunawatoto wengine wamelazwa. |
Barabara zilifungwa kwa mawe na askari kupata wakati mgumu kupita. |
Barabara zilizuiwa na matariri yaliyochomwa moto |
Vijana wa umri huu ndio walikuwa wakiwahenyesha polisi kwa muda wote kwani ni wajanja na wanambio. |
Mtuhumiowa akipandishwa kutoka kwenye mtaro kuelekea kwenye gari. |
Hali mbaya zaidi tembeleahttp://saidpowa.blogspot.com/ |
No comments :
Post a Comment