Mwanafunzi
wa kidato cha nne katika shule ya sekondari ya Alfa Morogoro, Jesca
Kiliani (17) akifanya mtihani wa taifa wa kidato hicho akiwa wadi namba
7B katika hospitali ya rufaa ya mkoa huo jana, baada ya kulazwa
kufuatia kufanyiwa operesheni ya uvimbe ambapo hivi sasa anaendelea na
matibabu hospitalini hapo.
RAS MKOA WA PWANI AFUNGUA MAFUNZO YA O&OD
-
Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Pili Mnyema, amefungua kikao kazi cha
mafunzo ya siku mbili kwa vikosi kazi vya utekelezaji wa Mfumo wa Fursa na
Vikwaz...
22 hours ago


No comments :
Post a Comment