Meneja Masoko wa Airte Bi Rahma Mwapachu
akifafanua jambo jinsi ya kupata facebook bure kupitia ofa za AIRTEl
SUPA 5 mbele ya waandishi wa Habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi
wa huduma hiyo mpya ya Airtel ‘AIRTEL SUPA 5’ itakayotoa ofa tano
kuwafaidisha wateja kuongea kwa NUSU Shilingi kwa sekunde siku nzima
kwa marafiki Airtel-Airtel, pia wateja wote wataongea kwa ROBO Shilingi
kwa sekunde usiku kucha Airtel-Airtel, kujipatia SMS 200 Bure Siku Nzima
endapo mteja atatuma SMS10 tu kwa 30Tshs, facebook bure pamoja na
kuburudika intaneti ya bure usiku mzima kwa wateja wote watakaojiunga na
OFA hii ya Airtel SUPA 5 kwa kupiga *149*99#.
ELIMU SHIRIKISHI NA UHIFADHI WA UTALII YATOLEWA MASHULENI
-
Na Mwandishi Wetu, Karatu
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro imeendelea na programu ya kutoa elimu ya
uhifadhi shirikishi na kuhamasiha utalii wa ndani kwe...
9 hours ago
No comments :
Post a Comment