Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Monday, May 14, 2012

MAREHEMU RACHEL MWILIGWA AAGWA LEO NA KUZIKWA GOBA JIJINI DAR ES SALAAM



 Mwanamasumbwi Japhet Kaseba alikuwa ni miongozi mwa waombolezaji walioaga mwili wa marehemu.

 
 Geneza la mwili wa marehemu Rachel Mwiligwa likiwa kanisani leo wakati wa ibada ya mazishi.
 Mmoja wa wahariri wa habari za michezo New Habari Bw. Isiji akilia kwa uchungu wakati alipotoa heshima zake za mwisho kwa marehemu.
 Mkurugenzi wa Radio One Deo Rweyunga akiaga mwili wa marehemu Rachel huku akiwa ameongozana na Mwandishi wa Makamu wa Rais Boniface Makene.
 Mbunge wa jimbo la Ubungo John Mnyika akitoa heshima zake kwa marehemu huku akiwa ameongozana na Mbunge wa jimbo la Kinondoni Idd Azan.
 Mwandishi Grace Hoka akilia kwa uchungu.
 Mwimbaji wa bendi ya Extra Bongo Rogati Hega akitoa heshima za mwisho.
 Mwanamasumbwi Japhet Kaseba alikuwa ni miongozi mwa waombolezaji walioaga mwili wa marehemu.
 Kutoka kushoto ni Said Mwishehe, Bw. Kihampa na Ali Mkongwe wakitoa heshima zao za mwisho.
 Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Radio Times Rehure Nyaulawa, Rashid Kejo na Shafii Dauda wakitoa heshimza zao za mwisho kwa marehemu.
 Ndugu na jamaa wa marehemu wakipita mbele ya jeneza la mwili wa marehemu Rachel Mwiligwa.
 Debora Kajolo na Saleh Ally wakiaga.
 Frolian Kaijage na Amir Muhando wakitoa heshimza zao za mwisho.
Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Radio Times Rehure Nyaulawa akizungumza na mbunge wa jimbo la Ubungo Mh. John Mnyika mara baada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Rachel Mwiligwa.
Geneza la Mwili wa Marehemu Rachel Mwiligwa likiingizwa kwenye gari maalum tayari kwa kuelekea huko Goba ambako marehemu atapumzishwa katika nyumba yake ya milele.http://www.fullshangweblog.com/

No comments :

Post a Comment