TaarifaKwaVyomboVyaHabari
‘PatamudawamaongezimarambilinaTigo”
16 Mei, 2012, Dar es Salaam.KwamaranyinginekampuniyaTigoimeonyeshaniayakutoahuduma
bora kwawatejawamalipoyakablakwakuzinduapromosheniya “PatamudawamaongezimarambilinaTigo”
“Tunafurahasanakutoathamanihiiyafedhakwawatejawetu”
alisema Alice MaroambayeniafisauhusianowaTigo. “Promoshenihiinizawadinyinginekwawatejawetuilikuwawezeshakuendeleakufurahiahuduma
bora nanafuukutokaTigo,kwani tuna lengo la kurahisishamawasilianonakufanyamaishayaoyawerahisina
bora” alisema.
Promoshenihiiambayoitadumukwasikunne,
itawawezeshawatejawamalipoyakablawatakoongezasaliokupitiaTigoPesa au TigoRushakupatamudawamaongeziwaziada.
Watejawatapatamudawamaongeziuliolipiwanadakikazanyongezakutegemeanakiwangowalichoongeza,dakikazaziadazitawawezeshakuwapigiandugu,
jamaanamarafikiwawapendao. Baadayakuongezamudawamaongezi,
watejawatapataujumbewamaandishikamauthibitishowakuanzakutumiamudawaziadawamaongezi.
Kuhusu Tigo:
Tigo ni mtandaowa simuzamkononi ya
kwanza Tanzania,
ilianzabiasharamwaka 1994 na ni mtandaowasimu Tanzania
wenyeubunifuwahaliyajuunabeinafuukupitazotenchini. Tigo ni sehemuya MillicomInternational Cellular S.A
(MIC) na hutoa hudumazasimuzamkononikwagharamanafuunainayopatikanamaeneomengikiurahisikwa watejazaidiya milioni
30 katika masoko 13 yanaoibukaAfrika na AmerikayaKusini.
Msingiwamafanikioya Tigo niuzingatiajiwamikakatimitatuambao,niGharamanafuu,
UweponaUpatikanaji
.Tunajenga duniaambapo hudumazasimu ni zabeinafuu,
ziponazinapatikanakilamahali na kwawote. Hii inahakikishakwambawatejawetuwanapatahuduma
bora zaidikwabeinafuukulikozote katika mikoayetu 26, Tanzania
Bara na Zanzibar.
Kwataarifazaidi tembelea: www.tigo.co.tz
No comments :
Post a Comment