Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00

Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Wednesday, May 16, 2012

H BABA APAGAWISHA WATEJA WA TIGO KARATU

 Msanii wa Muziki wa kizazi kipya,Hamis Baba maarufu kama H
Baba(kulia) akiimba na kucheza na watoto waliojitokeza kwenye Kituo
cha mabasi wilayani Karatu mkoa wa Arusha katika Bonanza
lililoandaliwa na Tigo na kutoa zawadi kwa wananchi mbalimbali
waliohudhuria.Picha na mpigapicha

You might also like:

No comments :

Post a Comment