Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00

Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, May 15, 2012

KAMPENI YA KUCHANGIA FEDHA KWA AJILI YA KUSOMESHA WAKUNGA YAFANYIKA LEO

Mkurugenzu wa AMREF Dkt. Festus Ilako akimkaribisha mama Salma Kikwete katika viwanja vya mnazi mmoja kwa ajili ya Kampeni ya kuchangia fedha zitakazowapeleka wakunga mafunzoni kupunguza vifo vya wajawazito na watpto iliyoratibiwa na AMREF

WASANII WA MJOMBA BEND WAKITUMBUIZA  WAKATI WA KAMPENI YA KUCHANGIA FEDHA ZITAKAZOWAPELEKA WAKUNGA MAFUNZONI ILI KUPUNGUZA VIFO VYA WAJAWAZITO NA WATOTO ILIYORATIBIWA NA AMREF KATIKA VIWANJA VYA MMNAZI MMOJA DAR ES SALAAM LEO

Wasanii wa Mjomba Band wakitumbuiza wakati wa Kampeni ya kuchangia fedha zitakazowapeleka wakunga mafunzoni kupunguza vifo vya wajawazito na watpto iliyoratibiwa na AMREF
Mrisho mpoto akiimba mashairi yake
WASANII WA MJOMBA BEND WAKITUMBUIZA  WAKATI WA KAMPENI YA KUCHANGIA FEDHA ZITAKAZOWAPELEKA WAKUNGA MAFUNZONI ILI KUPUNGUZA VIFO VYA WAJAWAZITO NA WATOTO ILIYORATIBIWA NA AMREF KATIKA VIWANJA VYA MMNAZI MMOJA DAR ES SALAAM LEO
Mama Salma Kikwete akiteta na Dkt. Husein Mwinyi
Mama Salma Kikwete akiteta na Mdau Sauda Simba Kilumanga leo katika viwanja vya mnazi mmoja kwa ajili ya Kampeni ya kuchangia fedha zitakazowapeleka wakunga mafunzoni kupunguza vifo vya wajawazito na watpto iliyoratibiwa na AMREF
Baazi wa wafanyakazi wa AMREF wakicgheza wakati wa kampeni hiyo
Mama Salma Kikwete akioneshwa baadhi ya Majarida ya kuamasisha kampeni hiyo
Mama SAlma Kikwete akikaribishwa katika viwanja vya mnazi mmoja na Dkt. Husein Mwinyi
Mkurugenzu wa AMREF Dkt. Festus Ilako akimkaribisha mama Salma Kikwete katika viwanja vya mnazi mmoja kwa ajili ya Kampeni ya kuchangia fedha zitakazowapeleka wakunga mafunzoni kupunguza vifo vya wajawazito na watpto iliyoratibiwa na AMREF

No comments :

Post a Comment