Bingwa wa Mabara bondia Francis Cheka akiwa na mikanda yake minne
ya ICB, IBF, WBC na UBO mara baada ya kuwasili mjini Morogoro leo akitokea Dar
es Salaam alikopanda ulingoni kupambana na bondia Karama Nyilawila. (Picha na
Joseph Malembeka).
NGORONGORO YATANGAZA FURSA MPYA KWA WAONGOZA WATALII (THE BIRTH OF WONDERS
PHOTO COMPETITION)
-
Mabadiliko makubwa katika ushirikishwaji wadau wa sekta ya utalii
yameibuliwa na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro ikianza mwanzo wa safari
mpya ya simu...
9 hours ago
No comments :
Post a Comment