Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Sunday, October 7, 2012

POLISI BALAX MABINGWA DARTS TAIFA (TADA) 2012.


  Katibu Tawala Wilaya ya Moshi Mjini , Hashimu Shimbo(kulia) akiwakabidhi Kikombe wachezaji wa klabu ya Polisi Baalax mara baada ya kuibuka mabingwa katika fainali za mashindano ya Darts Taifa(TADA) yaliyofanyika katika Hoteli ya Hugo’s Moshi Mkoani Kilimanjaro mwishoni  mwa wiki.
 Meneja mauzo wa Wilaya ya Moshi,Mwamba akizungumza na wachezaji hawapo pichani wakati wa kutoa zawadi kwa washindi wa mashindano ya Darts Taifa
 Mwenyekiti wa Chama cha Darts, Gesase Waigama akizungumza na wachezaji hawapo pichani
 Mgeni rsmi, Katibu Tawala wa Wilaya ya Moshi Mjini, Hashimu Shimbo akizungumza na wachezaji
 Zawadi zikianza kugawiwa kwa washindi
Mabindwa wa mwaka 2012 wa Darts Taifa, Polisi Balax wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhiwa Kombe

No comments :

Post a Comment