Makamu wa Kwanza wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF),
Athuman Nyamlani akielezea mipango yake ya kuendeleza soka nchini
endapo katika Uchaguzi Mkuu wa TTF ujao atachaguliwa kuwa Rais.
Nyamlani alikuwa anazungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari
alipokuwa akizindua kampeni zake jana kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari
Maelezo, Dar es Salaam leo.
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment