Mbunifu wa mavazi wa kimataifa nchini Afrika Kusini, David Tlale akiwa na Mwanamitindo wa Kimataifa kutoka Tanzania, Millen Magesa wakipita jukwaani stejini mara baada ya kuonesha ya kuonesha mavazi yake katika Tamasha la Mercedez Benz African Fashion Week, lililofanyika kwenye Stehsni ya Treni ya Ravos ya Mjini Tshwane, Pretoria, Afrika Kusini hivi karibuni
CCM: TUNAENDA KUWASIMAMIA MAWAZIRI KUTEKELEZA ILANI
-
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
Chama cha Mapinduzi kimesema kuwa kinaenda kuwasimamia maWaziri
walioteuliwa na Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi kutek...
5 hours ago


No comments :
Post a Comment