Nafurahi sana napowaona Wamasai
wakiwa katika moja ya Mila zao popote pale wanapokutana iwe wawili au
watatu hapa ni Segerea Stand wamasai hawa huwa kivutio kweli kwa watu
wanaoshuka kwenye daladala kuelekea majumbani mwao huwa wanasimama
kidogo kuwataza.kiukweli wanadumisha Mila ile wengine tulishashindwa Mi
Mmasai bana Nasema Mi Mmasai Kipi najivuni Mmasai fahari yangu....
Hapa ni kuruka kwa kwenda mbele..
Wakijiandaa hapo..
No comments :
Post a Comment