Meneja
wa Mauzo ya Rejareja wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda la
Ziwa,Andrew Mbwambo (kulia) akikabidhi kitita cha Sh. Laki 7 kwa Mshindi
wa Kwanza wa Ubunifu wa Mitindo kwenye Redd's Uni-Fashion Bash,Dotto
Elias (kutoka Chuo cha Biashara cha CBE jijini Mwanza) baada ya
kuwagaragaza wenzake,katika Tamasha hilo lililofanyika kwenye Bustani ya
Charcoal Ribs Beach Resort jijini,Mwanza.

Meneja
wa Mauzo ya Rejareja wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda la
Ziwa,Andrew Mbwambo (kulia) akikabidhi kitita cha Sh. Laki 5 kwa Mshindi
wa Kwanza wa Mitindo kwenye Redd's Uni-Fashion Bash,Fahad Rajab (kutoka
Chuo cha Mt. Augustine ya jijini Mwanza) baada ya kuwagaragaza
wenzake,katika Tamasha lililofanyika kwenye Bustani ya Charcoal Ribs
Beach Resort jijini,Mwanza.
Mkali
Muziki wa Kufoka hapa nchini,Fareed Kubanda a.k.a Fid Q akitoa burudani
kwa wakazi lukuki wa Jiji la Mwanza waliokuwa wamefurika kwa wingi
kwenye Bustani ya Charcoal Ribs Beach Resort jijini,Mwanza kushuhudia
Tamasha la Redd's Uni - Fashion Bash.

No comments :
Post a Comment