Mwenyekiti
wa CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete wakati akifunga mafunzo kwa
watendaji na viongozi wa CCM ngazi za wilaya na mikoa, usiku wa kuamkia
leo Oktoba 25, 2013 katika ukumbi wa mikutano wa CCM wa ‘White House’
mjini Dodoma. Mafunzo hayo yaliyokuwa ya siku nne yalifunguliwa na
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein. Kulia kwake
ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula na kushoto
kwake ni Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Abdulrahman Kinana. PICHA NA IKULU
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment