Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa Kongamano la Sita la Kimataifa la
Madktari Wanafunzi, lililofanyika sambamba na Mkutano wa nne wa Chama
cha Madaktari Wanafunzi TAnzania (TAMSA) lililofanyika jijini Mwanza
leo.
Sehemu
ya Wanafunzi, Madaktari waliohudhuria Kongamano hilo, wakimsikiliza
Makamu wa Rais wakati alipokuwa akisoma hotuba yake ya ufunguzi.
Sehemu
ya Wanafunzi, Madaktari waliohudhuria Kongamano hilo, wakimsikiliza
Makamu wa Rais wakati alipokuwa akisoma hotuba yake ya ufunguzi.
Baadhi ya wananfunzi Madaktari, wakijumuika kuimba wimbo wa Taifa, kabla ya kuanza kwa Kongamano hilo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea Cheti kutoka kwa Mratibu wa Kongamano la Sita la Kimataifa la
Madktari Wanafunzi, lililofanyika sambamba na Mkutano wa nne wa Chama
cha Madaktari Wanafunzi TAnzania (TAMSA) ambaye ni mwanafunzi wa Chuo
cha Hubat Kairuki cha Dar es Salaam, Helga Mutasingwa, ikiwa ni sehemu
ya kutambua mchango wa Mhe. Makamu katika kufanikisha Kongamano hilo.
Makamu alipokea Cheti hicho leo baada ya kufungua rasmi Kongamano hilo
jijini Mwanza.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Anthony Dialo, na baadhi
ya viongozi baada ya kufungua Kongamano hilo, jijini Mwanza leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na baadhi ya wanafunzi Madaktari baada ya kufungua Kongamano
hilo, jijini Mwanza leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi Madaktari, baada ya
ufunguzi rasmi wa Kongamano hilo.
No comments :
Post a Comment