
Wasanii wa Maigizo Bambo na Mtanga wakionyesha umili wao wa kucheza ndombolo katika promosheni ya sabuni OMO inyajulikana kama “nyumba kwa nyumba na omo”iliyofanyika Kibaha katika Mkoa Mpwani.

Wasanii wa Maigizo Bambo na Mtanga wakimvalisha kofia mshindi wa promosheni sabuni OMO inyajulikana kama “nyumba kwa nyumba na omo” Josephine Samson Mkazi wa kibaha kwa Yusufu katika Mkoa wa Pwani.
No comments :
Post a Comment