
Simba wanaanza mazoezi leo katika uwanja wa Kiness baada ya mapumziko mafupi baada ya mchezo na Toto Afrcan ya Mwanza.
Simba itaingia kambini rasmi hapo kesho kuanza maandalizi ya mchezo wake wa tarehe 10 siku ya Alhamisi dhidi ya Kagera Suger, mchezo ambao utachezwa katika uwanja wa Uhuru.
hawa vijana nawapa heko sana maana wananikuna uchezaji wao wakiendelea hivyo watachukuwa ubingwa na naona hata kinyanganyilo cha shirikisho barani africa naona watafika mbali mwakani
ReplyDeletehawa vijana wananikuna sana kutokana game wanayocheza kama wataendelea hivi watafika mbali na hata kombe la shirikisho mwakani wanaweza fika mbari
ReplyDelete