Shirikisho la kandanda Tanzania TFF limetangaza majina 26 ya waamuzi wa kati na waamuzi wasaidizi watakaofanya mtihani wa shirikisho la kandanda Duniani FIFA.
Taarifa hiyo imetolewa na Afisa Habari wa TFF Florian Kaijage ambaye amesema waamuzi wa kati 10 na mwanamke mmoja.
Kaijege amesema mafunzo pamoja na mtihani utafanyika Septemba 12 na 13.
Amewataja majina kuwa ni Kwamanga Tambwe(Ruvuma)Peter Mjaya(Pwani)Israel Nkongo(DSM)Orden Mbaga(DSM)David Paul(Mtwara)Othman Kazi(DSM)Ibrahim KIdiwa(Tanga)Martin Saanya(Morogoro)Dominick Nyamisana(Dodoma)Kenedy Mapunda(DSM) na mwanamke anayewania nafasi ya uamuzi wa kati katika soka ni Judith Gamba wa Dar es Salaam.
Waamuzi wasaidizi ni Samweli Mpenzu(Arusha)Mohamed Mkono(Tanga)John KAnyenye(Mbeya)Hamisi Chang`walu(DSM)Jesse erasmo(Morogoro)Maxmilian Nkongolo(Rukwa)Julius Kasitu(MOrogoro)Anold Bugando(Singida)Godfrey Tumaini(Singida)Chacha Fred(Kagera)Charles Simon(Dododoma).
wanawake niHellen Mduma(DSM)KUdura Omari(Tanga)Zahara Mohammed(DSM)Saada Husein(Mwanza
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment