MISS TANZANIA 2009 BALAA...
Warembo wanaowania taji la Vodacom Miss Tanzania wakiwa katika pozi baada ya kuripoti katika kambi iliyopo Dar es salaam jana.(Picha na Rajabu Mhamila)HAPA WASHIRIKI WANAPEWA SOMO NA MNYANGE WA 2008/09
Mrembo anayemaliza mda wake Nasser Karim (kulia) akizungumza na warembo watakaowania taji la Vodacom miss Tanzania baada ya kuwasili kambini katika hotel ya Giraffe jana.(Picha na Rajabu Mhamila)
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment