Baadhi ya wazee wa Kijiji cha Kwala Mlandizi Kibaha Pwani wakisubiri kuandikishwa wakati wa uhakiki wa majina kwa ajili ya Mpango wa jamii wa Uwasilishaji fedha kwa kaya masikini na wenye mahitaji maalumu inayofadhiliwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF)kushoto ni Mwarabu Tengeni, Mlangonde Nyange na Asha Ponanga.(Picha na Rajabu Mhamila)
OJA ,TEF,JOWUTA WASAINI MoU
-
Dar es Salaam
Waandishi wa habari Tanzania na Oman kutoka vyama vya Jukwaa la Wahariri
(TEF), JOWUTA na OJA leo wamemesaini MoU ya ushirikiano, am...
18 hours ago
No comments :
Post a Comment