
maafisa wa Stanbic Bank Tanzania Limited pamoja na mkurugenzi wa ufundi wa shirikisho la kandanda Tanzania TFF Sande Kayuni wakiunyanyua mpira juu ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa STANBIC AFCON 2010

kutoka kushoto ni Afisa uhusiano Urasa Sarakikya na meneja masoko na mahusiano Abdallah Singano wakizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa Stanbic AFCON 2010.
Stanbic Bank Tanzania Limited imezindua kampeni ya Stanbic AFCON 2010 ambapo wateja wake watapata nafasi ya kujishindia zawadi mbali mbali zikiwa ni pamoja na tiketi mbili za ndege kwenda na kurudi Luanda, Angola kutazama mechi ya fainali za kombe la mataifa ya Afrika.

Waandishi wa habari wakiwajibika katika uzinduzi wa fungua, tumia na shinda na Stanbic Bank.
No comments :
Post a Comment