
Msanii maarufu wa Luninga na filamu za kibongo steven kanumba, ni mmoja wa wa Tanzania waliowakilisha ndani ya jumba la big brother kama mgeni ndani ya jumba hilo ambapo atakaa humo kwa masaa 24 na wenzake watatu kutoka nchi zingine huku wakiwakaribisha washiriki wa BBA 4 mwaka huu.
Swali ambalo kila Mtanzania anajiuliza mwaka huu tunawakilishwa na nani?
No comments :
Post a Comment