Wednesday, September 16, 2009
ZAIN NA MAMBO YA FUTARI
MWEZI WA RAMADHANI RAHA JAMANI, HEBU ONA HAWA WAFANYAKAZI WA ZAIN... FULL KUJICHANA
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Zain wakipata futari jana jioni jijini Dar es Salaam baada ya Zain kuandaa futari kwa wafanyakazi wake. Zain pia imekuwa ikifuturisha na kutoa vyakula kwa yatima ikiwa ni sehemu ya kampeni yake ya kusaidia yatima nchini katika kipindi hiki cha mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment