Bingwa wa zamani wa dunia wa ndondi za kulipwa uzito wa juu, Evander 'The Real Deal' Holyfield wa marekani akiwa amewashika mijkono bondia Ruslan Chagaev wa Uzbekistan, kushoto na Alexander Povetkin wa Urusi kulia, katika siku ya kupima uzito kwa mabondia hao mjini Erfurt, Ujerumani juzi. Pambano la kuwania ubingwa wa dunia wa WBA uzito wa juu baina ya wawili hao lilitarajiwa kufanyika jana mjini Erfurt.
YANGA YAANZA VIZURI MASHINDANO YA CAF.
-
Kwa mara ya kwanza YANGA imefuta uteja wa kushindwa kupata matokeo mechi
za kwanza za makundi katika michuano ya kimataifa.
Ushindi wa goli moja ulitos...
1 day ago

No comments :
Post a Comment