Meneja Uhusiano wa Zantel, Charles Jutta (kushoto) akimkabidhi Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu wa Zanzibar, Hamad Masoud Hamad luninga ambazo zitafungwa kwenye chumba cha kupokea wageni rasmi na chumba cha wanaosafiri katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar, wakati wa hafla fupi iliyofanyika mjini Zanzibar jana. Msaada huu ni sehemu ya mchango wa Zantel wa mradi unaoendelea wa uwanja wa ndege wa Zanzibar.
BODABODA WANANE KUPANDISHWA KIZIMBANI KWA UHARIBIFU WA MALI
-
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Protas Mutayoba Polisi Mkoa
wa Kipolisi Rufiji ametoa taarifa ya kukamatwa kwa watuhumiwa wnane ambao
ni bo...
1 hour ago
No comments :
Post a Comment