Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Monday, August 1, 2011

MAKAMU WA RAIS DK GHARIB BILAL AMJULIA HALI MZEE SAMWEL MALECELA MJINI DODOMA


Mama Asha Bilal,akisalimiana na Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais Mstaafu, John Malecela, wakati alipofika kumjulia hali nyumbani kwake mjini Dodoma na Makamu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kulia)baada ya kufanyiwa upasuaji nchini India hivi karibuni.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais Mstaafu John Malecela, alipofika kumjulia hali nyumbani kwake mjini Dodoma jana Julai 29,2011.Mzee Malecela alifanyiwa upasuaji nchini India na hali yake inaendelea kuimarika.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais Mstaafu, John Malecela, wakati alipofika nyumbani kwake mjini Dodoma jana Julai 29,kmjulia hali baada kufanyiwa upasuaji nchini India hivi karibuni.Kushoto ni Mama Asha Bilal.
3:- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais Mstaafu, John Malecela, wakati alipofika nyumbani kwake mjini Dodoma jana Julai 29,kmjulia hali baada kufanyiwa upasuaji nchini India hivi karibuni. Kushoto ni Mama Asha Bilal.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal (kulia) akifurahia jambo na mke wa Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais Mstaafu, John Malecela, wakati alipofika nyumbani kwake mjini Dodoma jana Julai 29,kmjulia hali baada Malecela kurejea nchini kutoka kufanyiwa upasuaji nchini India hivi karibuni.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na mke wa Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais Mstaafu, John Malecela (wa pili kulia) ambaye pia anaagana na mke wa Kamau wa rais Mama Asha Bilal, baada ya mazungumzo wakati walipofika nyumbani mstaafu huyo mjini Dodoma jana Julai 29,kmjulia hali baada kufanyiwa upasuaji nchini India hivi karibuni.
7Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Asha Bilal (kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais Mstaafu, John Malecela na mkewe,Anne Kilango, wakati Makamu alipofika nyumbani kwa Malecela mjini Dodoma jana Julai 29, kwa ajili ya kumjulia hali baada ya kufanyiwa upasuaji nchini India hivi karibuni. Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi Ya Makamu Wa Rais

No comments :

Post a Comment