Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Sunday, August 14, 2011

RAIS DK SHEIN ATEMBELEA KITUO CHA UNUNUZI WA KARAFUU



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, wakijumuika na wakulima wa zao la kafuu kuchambua karafuu zilizochumwa katika kambi ya karafuu Daya Mtambwe,akiwa katika ziara ya kutembelea kambi za wachumaji wa karafuu,Mkoa wa Kaskazini Pemba.(13/08/2011)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,ALHaj Dk Ali Mohamed Shein,akijumuika na waislamu wa Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Futari maalum aliyowaandalia waislamu hao jana katika viwanja vya Ikulu ya Wete.(13/08/2011)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein,akimsiliza jambo Mtoto Hamadi Hassan wa darasa la Nne Skuli ya msingi Daya Mtambwe,mara baada ya kukitembelea kituo cha ununuzi wa zao la Karafuu cha Daya Mtambwe,pia kuzungumza na wakulima wa zao hilo jana,katika Wilaya ya Wete jana.(13/08/2011)
Baadhi ya wakulima wa zao la karafuu wakisubiri kuuza karafuu zao katika kituo cha ununuzi wa zao hilo huko Daya Mtambwe,Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba,wananchi wengi wamehamasiki kufika katika vituo mbali mbali kuuza karafuu.(13/08/2011)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakiangalia magunia ya karafuu zilizonunuliwa katika kituo cha ZSTC Daya Mtambwe jana walipofanya ziara ya kutembelea kituo hicho pamoja kambi za wachumaji wa Karafuu,Wilaya ya wete jana,(kushoto) Naibu Mkurugenzi wa ZSTC Pemba Hamad Khamis Hamad,(13/08/2011)
http://fullshangwe.blogspot.com/

No comments :

Post a Comment