Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Saturday, August 13, 2011

Washiriki Vodacom Miss Tanzania watembelea Mikumi













Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania jana walifanya ziara kutembelea mbuga ya Wanyama ya Mikumi kujionea wanyama aina mbalimbali. Pichani ni warembo hao wakiwa katika safari hiyo ya Mkoani Morogoro na hapa wameteremka kidogo kufanya mambo yetu ya safarini.










wakienda kutafuta mimizi ya Jiwe maana wameambiwa bila kupata hiyo ushindi patupu.






Yeah kila mmoja alikuwa na furaha baada ya kupata mzizi wake wa jiwe hivyo kazi ni kwao sasa nani atashinda na kila mtu amepata dawa...









Hapa ilikuwa ni chai pale Msavu mji Kasoro Bahari Morogoro.






walifika mikumi na hapa wapo geti kuu la kuingilia Hiofadhi hiyo.






waliona wamyama mbalimbali na katika wale Big 5 huyu walimuona






Mwana maringo Mrembo wa wanyama Mbugani Twiga nae walimuona na walifanyiwa C artwork za ukweli.






Katika maeneo muhimu waliteremka na kupatiwa maelekezo na muongozaji wao. Hapa ni katika bwawa la Viboko.



No comments :

Post a Comment