Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Sunday, August 21, 2011

MWENYEKITI WA WAMA MAMA SALMA KIKWETE AAGANA NA WALIMU WANAFUNZI WA ST. AUGUSTINE




Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete (kulia alievaa baibui) akizungumza na walimu wanafunzi kutoka chuo cha Ualimu St. Augustine tawi la Mtwara waliofika ofisini kwake leo mchana kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza mafunzo kwa vitendo katika shule ya mfano ya watoto yatima WAMA -NAKAYAMA iliopo chini ya Taasisi ya WAMA.
Mama Salma akiwa katika Picha ya pamoja na walimu wanafunzi kutoka chuo cha ualimu ST. Augustine, tawi la Mtwara waliokwenda kumuaga ofisini kwake leo baada ya kumaliza mafunzo ya ualimu kwa vitendo kwenye shule ya mfano ya watoto yatima WAMA-NAKAYAMA inayofadhiliwa na Taasisi ya WAMA huko Rufiji mkoa wa Pwani

No comments :

Post a Comment