Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Saturday, August 13, 2011

KCB yawaaga viongozi wake








Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya KCB Tanzania Edmund Mndolwa (kushoto) akimkabidhi zawadi ya ngao Mkurugezi wa Benki hiyo anayemaliza muda wake, Joram Kiarie baada ya kuitumikia wa kipindi cha miaka 6 katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa KCB Kenya, Peter Muthoka (kulia) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa KCB Tanzania, Edmund Mndolwa na Mkurugenzi wa Benki ya KCB Tanzania Joram Kiarie wakibadilishana mawazo wakati wa hafla ya kuwaaga baadhi ya Wakurugenzi wa benki hiyo jijini Dar es Salaam

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya KCB Tanzania Edmund Mndolwa akizungumza.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya KCB na Baadhi ya Wakurugenzi wa benki hiyo wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla ya kuwaaga baadhi ya wakurugenzi wa benki hiyo jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Masoko na Mahusiano wa KCB Tanzania Christine Manyenye akiwa na moja ya zawadi ambayo alikabidhiwa mmoja ya Wakurugenzi wa benki hiyo wakati wa hafla ya kuwaaga baadhi ya wakurugenzi wa benki jijini Dar es Salaam


No comments :

Post a Comment