LOS ANGELES Marekani
MWANAMUZIKI Jennifer Lopez amejitia katika matatizo kufuatia kivazi chake cha koti kulalamikiwa na watu wanafuatilia haki za wanyama.
Mwanamuziki huyo alivaa vazi lililotengenezwa kwa ngozi ya mbweha.
Watetezi wa haki za wanyama wamekuwa wakipinga mavazi yanayotengenzwa kutokana na ngozi za wanyama.
Mwanamuziki huyo alivaa kivazi kilichotokana na mbweha mweupe na kuanza kuzusha malalamiko.
Ameokana katika jarida akiwa amevaa kivazi hicho.
Gazeti la The Sun limesema kilichomsukuma nyota huyo kuvaa kivazi hicho pengine kutokana na kuvutiwa na fasheni yake na bila ya kufikiria zaidi
Watetezi wa haki za binadamu wanasema inawezekana wanyama wengi waliuawa ili kutengeneza koti alilokuwa amevaa.
Dan Mathews,wa kundi la haki za wanyama la PETA, alisema: "Watu wanaovaa inawezekana hawajali kuhusu mateso ya wanyama.
Wakati huo huo, J-Lo aliliambia jarida la Septemba la Vanity Fair ambalo litaanza kuuzwa Ijumaa kuwa kuvunjika kwa ndoa yake na Marc (42) ni jambo la kuumiza.
"Wakati mwingine hatujui kwamba tunajiumiza wenyewe."
Aliongeza: "Kuelezwa kwamba mtu si mzuri kwako au mtu huyo hakufanyi inavyostahili.
"Kama nitabakia, Nitakuwa sijafanya kitu sahihi kwangu. Ninajipenda sana kiasi cha kuondoka katika ndoa hiyo sasa."

No comments :
Post a Comment