Mwenyekiti wa Taasisi wa WAMA pia Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na Wajasiriamali Aug 26,2011 jinini Dar es Salaam wakati wa hafla ya uzinduzi wa uchangishaji wa fedha kwaajili ya Tamasha la Wajasiriamali (MOWE) 2011 litalofanyika jijini Dar es Salaam, ambapo mwaka huu Taasisi ya WAMA ndio mratibu wa Tamasha hilo.Jumla ya zaidi milioni 55 zimechangwa katika hafla hiyo na kauli mbiu ya mwka huu ya MOWE ( MIAKA 50 WANAWAKE WAJASIRIAMALI TUNAWEZA-TUTUMIE FURSA),(kulia ni Mwenyekiti wa MOWE Tanzania Elihaika Mrema,na (kushoto) ni Mwakilishi wa Katibu Mkuu kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara Consolata I. (Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO)
TANZANIA ANGLOGOLD ASHANTI KUIMARISHA USHIRIKIANO
-
Dar es Salaam. Msajili wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, amekutana na ujumbe
wa kampuni ya madini ya AngloGold Ashanti kujadili maendeleo ya shughuli za ...
10 hours ago
No comments :
Post a Comment