Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Sunday, August 14, 2011

WAZIRI MKUU MIZEGO PINDA AZINDUA UJENZI A NYUMBA ZA MAKAZI MEDELI DODOMAM


Waziri Mkuu Mizengo Pinda akikata utepe kwaajili ya uzinduzi wa ujenzi wa nyumba za makazi za MEDALI, Dodoma Aug,13,2011, (kushoto) Ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof, Anna Tibaijuka, (Picha na Mwnakombo Jumaa-MAELEZO)
Waziri Mkuu Mizengo Pinda (katikati) akielekea kuzindua rasmi ujenzi wa nyumba za makazi za Medeli,Dodoma Aug,13,2011,(kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la nyumba la Taifa (NHC)Nehemia Mchechu,akifuatiwa na Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof, Anna Tibaijuka na kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya NHC Eng,Kesogukewele akifuatiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri la Tanzania Anne Makinda, ((Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO)
Baadhi ya watoto waliohudhuria katika uzinduzi rasmi mradi wa ujenzi wa nyumba,za makazi ziliopo eneo la MEDANI Dodoma, Mradi wa ujenzi utagharamiwa na shirika kutokana mikopo kutoka taasisi za fedha za hapa nchini, Mradi huu umebuniwa na shirika la nyumba na lengo lake nii kupunguza tatizo la makazi kwenye mji huu mkuu wa nchi yetu, (Picha na Mwankombo Jumaa-MAELEZO).Aug,13,2011,
Msanii Mrisho Mpoto(MJOMBA) akionyesha umahiri wake katika sanaa kwa wageni na wakazi wa mji wa Dodoma waliohudhuria sherehe ya uzinduzi wa ujenzi wa nyumba za makazi za MEDALI ,(Picha na Mwanakombo Jumaa_MAELEZO).

No comments :

Post a Comment